NYOTA WA COUNTRY KENNY ROGERS AFARIKI

Thanks! Share it with your friends!

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Added by MiAmigo
146 Views
Ulimwengu wa muziki umezizima baada ya mmoja wa watunzi na waimbaji waliojipatia umaarufu mkubwa duniani, Kenny Rogers kufariki baada ya kutumbuiza kwa miaka 60.
Rogers, aliyepata umaarufu kwa nyimbo kama "Island in The Stream", "Lady", The Gabler" na "Lucille" amefariki akiwa na umri wa miaka 81 baada ya kuanza muziki mwishoni mwa miaka ya hamsini.
Category
Best Rock Songs
Commenting disabled.