Country Wizzy #POA Ft Marioo #Poa (Official Video)
https://linktr.ee/countrywizzy
Tanzanian Superstar Country Wizzy reconnects with old time Baddie Marioo on a new song "Poa"
produced By Cuckie Daddy. Poa!, the verb kupoa is a perfectly good Swahili word meaning to become cool; With the latter saying "Mambo Vipi?" Vipi- (Interjection.) Meaning : What's up?
The song "Poa" is dedicated to all the hustlers and hard working people of the people of United Republic , of Tanzania "Bongo"
God bless their Hustle
Video Director : Director Ivan
Follow Country Wizzy
Website : https://countrywizzy.com
Instagram: https://www.instagram.com/countrywizzy_tz/
Twitter: https://www.twitter.com/countrywizzy_tz/
Facebook: https://www.facebook.com/countryboy.mateso/
Tik Tok : https://www.tiktok.com/@countrywizzy__tz
Triller : https://triller.co/@countrywizzy_tz
Listen to Country Wizzy
YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCxVka_1VY3sgZsBCHfV4rWg
Audiomack: https://audiomack.com/countrywizzy
Apple Music :https://music.apple.com/tz/artist/country-wizzy/1532863210
Spotify: https://open.spotify.com/artist/3yhr2zfewkFrMS4MtHijYW
Boomplay: https://www.boomplay.com/artists/1215948
Deezer : https://www.deezer.com/en/artist/107865702?deferredFl=1
The Official Youtube Channel Of Country Wizzy. Subscribe For The Latest Music Videos, Performances, And More.
For Bookings: bookcountrywizzy@gmail.com
Contact: +255 787378575 /+255764888767
Email: Bookcountrywizzy@gmail.com
(Verse One) Marioo
I’m a BadMan ,Kitaa kimenielea
I’m a GoodMan ,Kitaa kimenifunza
Kwetu hakuna magari,
Shule ya kayumba yumba yumba
Umetukuza ugali,
Kwa kuyumba yumba yumba
Mungu Wa kwetu ndo Mungu wao
Tuna vyakwetu,Wanavyakwao
Usione tu Raha zao, zipo na shida zao
Hawajui utamu wa makoko,
Shule kwenda kwa ngoko
Kwenye vigodoro kula kopo
Kutongoza kwenye chocho
(Chorus)
Wanangu wa kinondoni mambo vipi?(Poa)
Ilala Mambo vipi?(Poa)
Wanangu wa temeke mambo vipi?(Poa)
Kariakoo mambo vipi?
Nauliza kinondoni Mambo vipi?
Ilala mambo vipi?
Temeke Mambo vipi?
Kariakoo mambo vipi?
(Verse 2) Country Wizzy
Nilipotoka mpaka hapa baba lazima nisherekehe
Mana majukumu yalinianza nilipo balehe
Kama starehe nazofanya zinakukera nisamehe
Mana nilikotoka kula ubwabwa mpaka iwe sherehe
Si Walinifunga kwenye banda
Usishangae nimetoka mnyama
Viroboto na chawa wa mjini wananimanya
Cheki namna mimi na pesa tunatazamana
Paka zinapishana ghetto ka nafuga panya
But i am who I am
Hata ww ungekuwa mimi nisingependa so i don't blame
Na niko juu
Everything I do
Me ndo yule aliyefanya watoto wapende mziki huu
So braza ukiona siku hizi watoto wanashoboka
Kaa ukijua nigga longtime nlishasota
Na usiulize hustle hata makopo nishaokota
Sasa hivi chupa nyingi baba nashushia na coca
(Chorus)
Wanangu wa Bodaboda mambo vipi?(Poa)
Machinga mambo vipi? (Poa)
Wanangu wa dollar Moja Mambo vipi?(Poa)
Madalali Mambo vipi?(Poa)
Wanangu wa Bodaboda Mambo vipi?
Machinga mambo vipi?
Wanangu wa dollar moja mambo vipi?
Madalali mambo vipi?
(Verse 3 Country Wizzy)
Kama unajijua umetokea maisha magumu na una hustle basi Piga makofi,
Kama kwenu we ndo tegemezi na watu hawakosi kula basi Piga makofi,
Umeuwa njaa Piga makofi
We ni shujaa piga makofi
Ujakata tamaa piga makofi
Nasema piga makofi tafadhali
Wanangu Wa A-Town Mambo vipi?
Dodoma Mambo vipi?
Wanangu wa mwanza mwanza mambo vipi?
Mbeya City Mambo Vipi?
(outro)
It Aint over,
Untill Its Over Baby
I’m Outta Here
- [ ]
#CountryWizzy #Marioo #Poa #Trending

- Category
- Best Country
Comments